Psalms 33:2-3

2 aMsifuni Bwana kwa kinubi,
mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.
3 bMwimbieni wimbo mpya;
pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.
Copyright information for SwhNEN